Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (katikati) akimkaribisha
Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdalah Kigoda walipofanya ziara ya
kawaida ya mawaziri wanne ya kutembelea Mamlaka ya Bandari, Dar es
Salaam leo. Wa tatu kushoto ni Waziri wa Fedha, Dk. William Mngimwa na
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA),
Madeni Kipande aliye kushoto kwa Dk. Mwakyembe. (Picha habari na
www.mwaibale.blogspot.com)
Thanx Vijimambo Blog
