Waziri
wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk akijibu maswali
ya waandishi wa habari hawapo pichani kulia ni Naibu Waziri wa
Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo Bihindi Khamisi Hamadi.
Mwandishi
wa habari Bw.Salum Vuai akiuliza suali kwa Waziri hayupo pichani juu ya
upatikanaji wa vinga`muzi huko katika ukumbi wa habari maelezo mjini
Zanzibar.
-Waziri
wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk akizungumza na
waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali juu ya suala zima la kuuingia
katika mfumo wa Digitali huko katika ukumbi wa habari maelezo kikwajuni
mjini Zanzibar.
Jengo linalotarajiwa kufungwa vifaa vya mitambo ya Digitali lililopo Rahaleo mjini Zanzibar.Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar
