Mwenyekiti wa Taasisi ya sekta Binafsi (TPSF) Bw. Reginald Mengi wa pili kushoto
akieleza jambo wakati wa kikao baina ya TPSF na Wizara. Wanaosikiliza ni
Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF Bw. Godfrey
Simbeye na (katikati mbele) ni Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Bw.
Eliakim Maswi.
Sehemu ya wajumbe waliohudhuria kikao baina ya
Wizara ya Nishati na Madini na TPSF wakifuatilia majadiliano wakati wa kikao
hicho.
Baadhi ya Wawakilishi kutoka Sekta Binafsi (TPSF) waliofika
katika kikao hicho wakifuatilia kikao hicho.
