![]() | |
| Taarifa zinaendelea kusambaa kwenye mitandao mingi kwamba nicki minaj ana mimba. Na unaweza kujiuliza nani atakua baba? Sio mwingine bali Lil Wayne. Nicki minaj alionekana akiwa na kitumbo kidogo akitoka dinner tarehe 2 januari na akitumia maji tu usiku huo kitu ambacho sio kawaida yake.Tunasubiri kuona kama nicki atatangaza rasmi kuhusiana na rumour hizi. |
Rumour hizi ni suprise kwa watu wengi kwasababu nicki minaj alishatamka
katika interview na kituo cha MTV kwamba lil wayne ni kama kaka
kwake.”Not only is he my boss, but he’s also like my brother,” alisema
nicki minaj mwezi April Mwaka Jana.Kama rumour hizi zikiwa kweli mtoto
atakayezaliwa atakua ni wa 5 kwa wayne (ana watoto wanne wote mama
tofauti). Watu wengi imekua ndio topic yao leo kwenye mtandao huku
wakiwa na wasiwasi kwamba nicki na wayne hawana parenting skills.
