![]() |
Naambiwa
hii single mpya ya Mwasiti Inayoitwa Serebuka itawafikia Watanzania wote na fans wake kwa
ujumla kuanzia January 13 2014 na itakua single yake ya nane kuitoa toka
aanze muziki rasmi mwaka 2006.
hii mpya ameifanya na producer Tuddy Thomas baada ya ukimya wa
kutokutoa single yoyote mwaka 2013 huku single yake ya mwisho kuitoa
redioni ikiwa ni ‘mapito’ June 2012.


