SPIKA MAKINDA AMUAGA MWAKILISHI MKAZI UNDP

 Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda Mb akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Tanzania anayemaliza muda wake Bwana Abeeric Kacou  (kushoto) wakati Mwakilishi Mkazi huyo alipofika Ofisini kwa Spika leo kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake.
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda, Mb, akimkaribisha Balozi mpya wa Cuba nchini Tanzania Mhe. Jorge Luis Lopez Tormo (kushoto) ofisi kwake leo ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia kuendeleza ushirikiano wanchi mbili hizi. Prosper Minja – Bunge