RAIS WA ZANZIBAR MH ALLY MOHAMED SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA MNARA WA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitambulishwa  kwa mshauri wa Ujenzi wa kampuni ya Hab Consult Bw.Habib Nuru,Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Dkt.Khalid Salum,alipofika viwanja vya Kisonge,Michenzani Mjini Unguja, kuweka Jiwe la Msingi  Mnara wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] TA1A8256 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Ujenzi   wa Mnara wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, katika viwanja vya Kisonge,Michenzani  Mjini Unguja leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] TA1A8305 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi   Mnara wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Kisonge,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] TA1A8342 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi   Mnara wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Kisonge,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] TA1A8358 
Wananchi na wanachama wa CCM Jimbo la Mpendae wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] TA1A8359 
Wananchi naa wanachama wa CCM Jimbo la Mpendae wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A8360Wafanyakazi wa ZSSF,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A8398 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, katika viwanja vya Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi,(kulia) Waziri wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family