![]() |
Ni mtoto wa miaka 12 anaitwa Justin
Kyler ambae aliingia kwenye show ya Jay Z huko North Carolina na kukaa
kwenye siti za mbelembele akiwa na bango lenye maandishi ya kuomba
kumuonyesha Jay Z uwezo wake kwenye kurap. ‘Can I rap for you?
Unaambiwa hii ishu haikua imepangwa, ni kweli huyu mtoto alikua na
ndoto sana za kutambulika na Jay Z ndio maana akamsisitizia mama yake
kumpeleka kwenye hii show, baada ya Jay Z kumuona aliamua kumuita kwenye
stage na hiki ndicho alichofanya.
Video zote hizi mbili hapa chini zinahusika
|

