MKE AKATWA MKONO NA MUMEWE HUKO GEITA


Ikiwa ni muendelezo wa kukufichulia matukio ya Ukatili wa Kijinsia dhidi ya wanawake, kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa na Televisheni ya EATV kila Jumanne saa tatu kamili usiku, wiki hii kimekufichulia kisa cha mwanamke aliyekatwa mkono na mume wake huko Geita. Itazame video hii hapo chini:
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family