HALI YA HEWA NCHINI MAREKANI YAZIDI KUWA MBAYA KWA BARIDI KALI,MAJIMBA 50 YAMEATHIRIKA

http://salmamsangi.com/wp-content/uploads/2014/01/skno.jpg
Majimbo yaliyoathirika zaidi ni Alabama,Georgia, Tennessee, Arkansas, Michigan, Maryland, Ohio, Pennsylvania na New York
http://salmamsangi.com/wp-content/uploads/2014/01/snow-2.jpg
Katika jimbo la Kentucky, mfungwa mmoja aliyetoroka alilazimika kurudi ili kujinusuru na baridi kali
http://salmamsangi.com/wp-content/uploads/2014/01/snow-4.jpg
Hali ya hewa nchini Marekani imezidi kuwa mbaya ambapo majimbo yote 50  ya nchi hiyo yamekumbwa barafu kali. Hali ya hewa hiyo mbaya imesababishwa na hali inayojulikana kitaalamu kama ‘arctic blasts’
imeathiri karibu watu milioni 190