DK MWAKYEMBE KUONGEZA USALAMA WA TAIFA AIRPORT DAR KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA


 Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (kulia) akijadliana jambo na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Suleiman Suleiman baada ya kufanya mkutano na wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, na kuazimia kuimarisha zaidi ulinzi ili  kuwadhibiti wasafirishaji wa dawa za kulevya na watoroshaji wa madini
                               Suleiman Suleiman akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa TAA
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family