Muonekano wa gari baada ya ajali eneo la Kimara-Baruti, jijini Dar.
Mwanamuziki wa Hip hop,
Joseph Haule 'Profesa Jay' amepata ajali ya gari baada ya kuparamia
kifusi akijaribu kumkwepa mtu eneo la Kimara-Baruti, jijini Dar wakati
akitoka nyumbani kwake Mbezi! Prof hajaumia sana katika ajali hiyo japo
gari lake limeharibika.
