PICHA:SEKRETARIETI YA CCM WAKIELEKEA KIGOMA KWA TRENI


Kinana, Migiro na Nape wakiwaaga wana-CCM na wananchi kwa ujumla katika stesheni ya Dar es Salaam leo kabla ya kupanda treni kuelekea Kigoma kwa sherehe za miaka 36 ya CCM.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipunga mkono baada ya kupanda treni jijini Dar kuelekea Kigoma kwa sherehe za miaka 36 ya CCM.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Asha-Rose Migiro akipunga mkono baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma leo.
Kinana akipanda treni kuongoza msafara wa Sektretarieti waliosafiri kwa treni kwenda Kigoma kutoka Dar es Salaam jioni hii.
WanaCCM wakimuaga Kinana na msafara wake kutoka stesheni ya reli Dar es Salaam  leo.
(Picha na Bashir Nkoromo)