BREAKING NEWZ:MTWARA HALI SI SHWARI,MILIO YA MABOMU YALINDIMA HIVI SASA,NYUMBA YA WAZIRI YACHOMWA MOTO,MWANDISHI WA CHANEL 10 AJERUHIWA


Mwandishi wa Chanel aumia katika vurugu za kgesi mtwara zinazoendela muda
 
 Askari wa kutuliza ghasia wakiwa tayari kutuliza fujo Mtwara kwa kile kilichoelezwa ni vurugu zinazoendelea za gesi
  
Inasemekana Nyumba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu
Tawala na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia imepigwa mawe na kuvunjwa vioo na Mahakama ya Mwanzo kuchomwa moto na hivi sasa mabomu ya machozi yanaendelea kulindima  Mtwara Mjini hivyo Jeshi la wananchi limelazimika kuingilia kati kutuliza ghasia hizo, hizi ni habari zilizopatikana muda huu