BURN RECORDS:PRODUCER WA MZIKI WA KIZAZI KIPYA SHEDDY CLEVER AWASHUKURU MASHABIKI WAKE WALIOMPA SAPOTI 2012

SHEDDY CLEVER
Producer mkali wa muziki wa kizazi kipya sheddy clever anaekuja kwa kasi ya hatari ameiambia 2 brothers kua anawashukuru saana mashabiki wa burn record kwani toka mwaka 2012 ulipoanza na mpaka umeisha kunamabadiliko mengi saana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya kwani kazi yake ya kwanza kumtambulisha katika ramani ya muziki ni Nivute kwako ya daYna na barnabas nimoja kati ya wimbo ulio fanya vizuri saana katika vituo vya tv na radio ndani na nje ya tanzania .Sheddy clever hakukata tamaa na akazidi kusonga mbele nakuwaletea mashabiki vitu vizuri zaidi ndipo akatoa wimbo Marry me wa Rich mavoko, Amekua ya pasha na 2nda man,Yatakwisha ya ben pol na linah, na Zlipendwa ya matonya ambayo imefunga mwaka 2012 nakufanya vzr saana .Sheddy clever anawashukuru mashabiki na wadau woote kwakupokea kazi zake anaomba mkae tayari kwa mwaka 2013 kwani nimwaka ambao utakua na nyimbo nyingi kutoka Burn record kwa sheddy clever na wakae tayar kupokea wasanii wapya kabisa kutoka burn record nao ni K-B,BAMUYU,MAYUTI,BARIDI,DOCHI,CHESCO nawengine wengi naomba muwapokee kwa moyo mkunjufu jamani mi nawapenda woote!Alisema Producer huyo.
 
© 2012. Design by Ernest James Siwigo Chambasi - Supported By John James Chambasi And Maganza Family