Mchungaji Leos Hizza wa kanisa KKKT Azania Front akiongoza ibada ya kumuaga Kamanda Kombe.
Baadhi ya waombolezaji wakionekana na nyuso za huzuni wakati wa ibada ya kuuaga mwili wa Marehemu Kamanda Kombe.
Baadhi ya Maofisa wa Jeshi la Polisi waikisikiliza neno wakati wa ibada.
Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akiaga mwili.
Kamanda msitaafu wa polisi kanda maalum ya Dar, Alfred Tibaigana akitoa heshima za mwisho.
Mnadhimu mkuu wa Jeshi la polisi nchini, Kamanda Mbezi akitoa heshima za mwisho.
Aliyekua kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Jamal Rwambo akiaga mwili wa marehemu.
Afisa wa polisi usalama barabarani mkoa wa kipolisi Kinondoni, Afande Solomon akiaga
Mke wa marehemu, Mh. Marry Kombe (katikati) akipewa msaada wakati wa kuaga mwili wa mume wake
Mtoto wa marehemu aitwaye Happy Kombe (katikati) akilia kwa uchungu wakati akimuaga mwili. Baadhi ya waombolezaji wakiwa nje ya kanisa mara baada ya mwili kuondolewa tayari kwa msafara kuelekea Moshi vijijini kwa ajili ya mazishi.
Askari akiongoza msafara kutoka kanisani baada ya ibada.
Jeneza lenye mwili wa kamanda Kombe likitolewa nje ya kanisa tayari kwa msafara. Jeneza lenye mwili likiingizwa kwenye gari tayari kwa safari ya Moshi.
Gari lililobeba mwili wa marehemu tayari kwa safari kuelekea Moshi vijijini kwa mazishi.
Askari wa Jeshi la usalama barabarani akiongoza msafara wa msiba wa Kamanda Komba kuelekea moshi vijini kwa mazoshi.