SHAKIRA NA RIAHANA KUKUTANA KWENYE “CANT REMEMBER TO FORGET YOU”

Rihanna_and_Shakira
Ushawahi kudhani kama hawa watu wawili wanaweza kuendana katika Track moja,huku shakira akiwa ni mwimbaji wa style tofauti kabisa na rihanna,kitu ambacho dunia nzima inasusubiri collabo hiyo ya wawili hao ambayo ipo jikoni soon kuwa released.mwaka huu una kila aina ya matukio muhimu yakutegemewa kutokea ambayo hayajawahi kabisa kutokea,ukizingatia na ni mwanzo tu wa mwaka huu ambapo tunategemea collabo kati ya star hao  wawili ambalo halijawa hikutokea.
Shakira_Rihanna_Single_Art
“Cant remember to forget u” ndo itakuwa nyimbo ya kwanza ya shakira ambayo itakuwa ni manzo tu katika harakati ya kutengeneza album yake ya kwanza ambayo ataimba nyimbo zote kwa kingereza tu.shakira amekuwa kimya kwa muda toka ame-release album yake ya “she wolf “mapema mwaka 2009,album iliyofanikiwa kuuza kwa wingi sana.huku Rihanna akiwa ndio kama mkali wa kuwekwa kwenye collabo mbali mbali na kuzifanya zi-make headlines kama zile alizofanya na eminem,ambazo kila moja aliyowahi kufanya imeweza kukaa muda mrefu kwenye chart mbalimbali za nyimbo duniani.