Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akihutubia Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wakati wa
Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu
jijini Dar es salaam leo January 10, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
viongozi wengine wakisikiliza hotuba toka kwa Balozi wa DRC nchini Mhe
Asumani Mpango ambaye pia ndiye Kiongozi wa Mabalozi nchini akihutubia
wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya(Sherry Party) Ikulu jijini
Dar es salaam leo January 10, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika
picha ya pamoja Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wanawake
wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party)
aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika
picha ya pamoja Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wakati
wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party) aliyowaandalia
Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014. PICHA NA IKULU



