Askari
waliokuwa wakielekea katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM
kata ya Nduli Iringa mjini wakitazama gari ambalo alikuwa akiendesha
OCD Iringa lililopata ajali majira ya saa 10 jioni leo (jana)
jumapili japo hakuna aliyepoteza maisha ktk ajali hiyo iliyotokea
kona la Mgongo barabara ya Iringa-Dodoma
wasomi
wa chuo kikuu cha Iringa wakitazama ajali hiyo ambayo dereva wake
OCD Iringa alinusurika kifo na kuumia mkono wake kiasi.Picha na
Francis Godwin-Iringa