Atakuwa kocha mpya wa Yanga? Hans van der Pluijm anatarajiwa kutua kesho kwa mazungumzo
Na Prince Akbar, Dar es Salaam
KLABU ya Yanga SC imemualika kwa mazungumzo, kocha ‘babu’, Johannes Franciscus ‘Hans’ van der Pluijm, aliyewahi kuifundisha Berekum Chelsea ya Ghana, ambaye anaweza kutua Dar es Salaam kesho iwapo atafanikiwa kupata ndege.
Hakuna nafasi katika ndege za kutoka Ghana kuja Dar es Salaam na babu huyo anahaha kutafuta ndege ya kuunganisha na kama akifanikiwa basi atakuja nchini kesho, ikishindana wakati wowote mapema wiki ijayo