Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (kulia) akijadliana jambo na
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Suleiman
Suleiman baada ya kufanya mkutano na wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wa
Julius Nyerere, Dar es Salaam, na kuazimia kuimarisha zaidi ulinzi ili
kuwadhibiti wasafirishaji wa dawa za kulevya na watoroshaji wa madini
Suleiman Suleiman akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa TAA