CHEKI PICHA KALA JEREMIAH AKIKABIDHI TUZO KWA MAMA MANGWAIR ATIMIZA AHADI YA KUMPA TUZO THE LATE MANGWAIR,
Kala Jeremiah akikabidhi tuzo yake kwa mama mzazi wa Albert Mangweha, Bi. Denisia Mangweha.
Kala, ndugu wa marehemu Ngwea na alioambatana nao wakiwa kwenye gari kuelekea makaburini.
Mama
mzazi wa marehemu Albert Mangweha akiwa ameshikilia tuzo aliyopewa kwa
niaba ya mwanae, tuzo hii aliipata msanii Kala Jeremiah kwenye tuzo za
Kilimanjaro ikiwa kama tuzo ya msanii bora ya Hip Hop 2013-14