BREAKING NEWZ:HALI SI SHWARI ARUSHA,MABOMU YARINDIMA,ENEO WALIOKUSANYIKA WANACHAMA WA CHADEMA,NI KATIKA VIWANJA VYA SOWETO
BREAKING NEWS: Kutoka Arusha tunataarifiwa kuwa askari wanatumia mabomu ya machozi katika kutawanya wanachama wa CHADEMA waliokusanyika katika eneo la Soweto. kwa habari Zaidi Tutakujuza Hivi Punde Endelea Kutembelea 2brothers Blog