2BROTHERS
Habari
STEVEN GERLAD KUFANYIWA OPERESHENI WIKI HII
Na Baraka Mpenja Kwa msaada wa
Sportsmail.com.Msimu wa ligi kwa nahodha machachari wa majogoo wa jiji, klabu ya Liverpool,Steven Gerrard umefikia ukingoni baada
ya kuthibitishwa kuwa nyota huyo
anafanyiwa upasuaji sehemu ya bega wiki hii.
‹
›
Home
View web version