Ngwea
akiwa na msanii M to the P jana south africa.mtu wa karibu anasema
walitakiwa kurudi dar leo lakini waliwakuta wamezima kwenye room wote
wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya na M to the P yupo hoi
hospitali.
Msanii wa Bongo Fleva Albert Mangwair a.k.a Ngwair amefariki dunia akiwa nchini Afrika Kusini
|