HII NDIO MOVIE YA MWISHO ALIYOIGIZA MAREHEMU SAJUKI,SASA IPO MADUKANI KOTE
Filamu aliyoigiza
marehemu Sajuki na mke wake Wastara ‘Kivuli’ imeingia sokoni rasmi.
Filamu hiyo iliyotayarishwa na Wajay Film Co na kusambazwa na kampuni ya
Steps imewahusisha pia waigizaji Slim Omary na Mohammed Said.